Ufafanuzi wa mpururo katika Kiswahili

mpururo

nominoPlural mipururo

  • 1

    utoaji wa kitu kwa kuvuta k.v. mbegu za mpunga kutoka katika shuke; uvutaji wa kitu usiokuwa na taratibu.

Matamshi

mpururo

/m pururɔ/