Ufafanuzi wa mpuuzi katika Kiswahili

mpuuzi

nominoPlural wapuuzi

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kufanya mambo yasiyokuwa na maana; mtu asiyefaa kufuatwa mambo yake.

    bahaimu

Matamshi

mpuuzi

/m pu:zi/