Ufafanuzi wa mpwitompwito katika Kiswahili

mpwitompwito

nominoPlural mipwitompwito

  • 1

    hali ya kuwa na furaha au huzuni kupita kiasi kwa kujiona kuwa wewe ni mmoja katika kundi lililofanya jambo fulani.

Matamshi

mpwitompwito

/m pwitɔ m pwitɔ/