nominoPlural miraba
- 1‘Umelima mraba mmoja hadi mwisho?’
nominoPlural miraba
- 1
umbo la pande nne ambalo upana na urefu ni sawa na hufanya pembe za digrii 90.
nominoPlural miraba
- 1
kitu kitamu kama asali au sukari iliyopikwa na kuchanganywa na vitu vingine k.v. njugu na kuwa ngumu.
‘Njugu za mraba’kashata