Main definitions of mradi in Swahili

: mradi1mradi2mradi3

mradi1

noun

 • 1

  shughuli au biashara fulani inayomwingizia mtu kipato.

 • 2

  jambo au haja inayohitajiwa kupatikana.

  ‘Nimesumbuka bure, sikupata mradi wangu’
  matilaba

 • 3

  mpango fulani wa maendeleo k.v. ya nchi unaotarajiwa kutimizwa au uliokwisha kuanzishwa.

Origin

Kar

Pronunciation

mradi

/mradi/

Main definitions of mradi in Swahili

: mradi1mradi2mradi3

mradi2

conjunction

 • 1

  neno linalolinganishia mambo au vitu.

  ‘Si kitu ukinyamaza, mradi ufike mkutanoni’
  ilimradi

Origin

Kar

Pronunciation

mradi

/mradi/

Main definitions of mradi in Swahili

: mradi1mradi2mradi3

mradi3

noun

 • 1

  kijiti cha kutarizia uzi.

Pronunciation

mradi

/mradi/