Ufafanuzi wa mraibu katika Kiswahili

mraibu

nominoPlural waraibu

  • 1

    mtu aliyezoea mno kitu anachokipenda kiasi cha kuwa vigumu kuachana nacho k.v. sigara, ulevi, tambuu au miraa.

Matamshi

mraibu

/mraIbu/