Ufafanuzi wa mrakibu katika Kiswahili

mrakibu

nominoPlural warakibu

  • 1

    ofisa wa polisi aliye na cheo cha juu kuliko inspekta lakini cha chini ya kamishna msaidizi.

Asili

Kar

Matamshi

mrakibu

/mrakibu/