Ufafanuzi wa mramali katika Kiswahili

mramali

nomino

  • 1

    mtu anayetabiri mambo kwa kutumia elimu ya nyota.

Asili

Kar

Matamshi

mramali

/mramali/