Ufafanuzi wa mrashi katika Kiswahili

mrashi

nominoPlural mirashi

  • 1

    chombo kama kibuli kidogo chenye mrija mwembamba katikati cha kunyunyizia marashi.

Asili

Kar

Matamshi

mrashi

/mra∫i/