Ufafanuzi wa mrasimu katika Kiswahili

mrasimu

nominoPlural warasimu

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya ofisini kulingana na taratibu na kanuni za utawala.

Asili

Kar

Matamshi

mrasimu

/mrasimu/