Ufafanuzi wa mrejeo katika Kiswahili

mrejeo

nominoPlural mirejeo

  • 1

    hali ya kurudi pale ulipoanzia safari.

    ‘Kwa kawaida akisafiri hurejea baada ya wiki moja lakini mrejeo wa safari hii umekuwa wa haraka’

Matamshi

mrejeo

/mrɛʄɛɔ/