Ufafanuzi wa mrela katika Kiswahili

mrela

nomino

  • 1

    mshono wa shati au kanzu ambao duara yake ya chini huwa pana kuliko kawaida.

Matamshi

mrela

/mrɛla/