Ufafanuzi wa mrembo katika Kiswahili

mrembo

nominoPlural warembo

  • 1

    mwanamke au msichana wa umbo zuri na aliyejipamba.

    mlimbwende, mnyange

Matamshi

mrembo

/mrɛmbɔ/