Ufafanuzi wa mrihani katika Kiswahili

mrihani

nominoPlural mirihani

  • 1

    mmea ambao majani yake hutoa harufu nzuri sana na hutumika kuwa ni mafusho.

Asili

Kar

Matamshi

mrihani

/mrihani/