Ufafanuzi wa mrisi katika Kiswahili

mrisi

nominoPlural mirisi

  • 1

    idadi ndogo sana ya mapato katika mchezo wa karata ambayo humwezesha mpinzani kufunga zaidi ya bao moja.

Matamshi

mrisi

/mrisi/