Ufafanuzi wa mronge katika Kiswahili

mronge, mlonge

nomino

  • 1

    mti wenye shina laini na majani madogomadogo ya duara ambayo hufanywa mboga, hupandwa kufanya ua wa nyumba na huzaa matunda marefu yaitwayo singu.

Matamshi

mronge

/mrɔngɛ/