Ufafanuzi wa mronjo katika Kiswahili

mronjo

nomino

  • 1

    mti mrefu unaofungwa mguuni na wacheza ngoma ili wawe warefu.

Matamshi

mronjo

/mrɔnʄɔ/