Ufafanuzi msingi wa mrungura katika Kiswahili

: mrungura1mrungura2

mrungura1

nomino

  • 1

    mpigo maalumu wa ngoma ambao hutoa taarifa maalumu.

  • 2

    ngoma ya mti yenye umbo la kinu iliyowambwa upande mmoja.

Matamshi

mrungura

/mrungura/

Ufafanuzi msingi wa mrungura katika Kiswahili

: mrungura1mrungura2

mrungura2

nomino

nomino

Matamshi

mrungura

/mrungura/