Ufafanuzi wa msafa katika Kiswahili

msafa

nominoPlural misafa

  • 1

    mstari wa vitu au watu wanaofuatana mmoja baada ya mwingine.

    safu

Matamshi

msafa

/msafa/