Ufafanuzi wa msafiri katika Kiswahili

msafiri

nominoPlural wasafiri

  • 1

    mtu anayekwenda au aliye katika safari.

    methali ‘Msafiri ni aliye pwani’
    methali ‘Msafiri kafiri’

Matamshi

msafiri

/msafiri/