Ufafanuzi wa msagaji katika Kiswahili

msagaji

nomino

  • 1

    mwanamke anayefanya tendo la kama kujamiiana na mwanamke mwingine.

Matamshi

msagaji

/msagaŹ„i/