Ufafanuzi wa msagaliwa katika Kiswahili

msagaliwa

nominoPlural wasagaliwa

  • 1

    mwanamume mwenye kupenda kukaa na wanawake saa zote.

    dondoandume

  • 2

    hanithi

Matamshi

msagaliwa

/msagaliwa/