Ufafanuzi wa msaha katika Kiswahili

msaha

nominoPlural misaha

  • 1

    kifaa cha chuma kipana chenye makali kinachogongomewa kwenye mpini ili kuchimbia mashimo ya nguzo.

    mchemu, mshamo

Asili

Kar

Matamshi

msaha

/msaha/