Ufafanuzi wa msahaulifu katika Kiswahili

msahaulifu

nominoPlural wasahaulifu

  • 1

    mtu anayesahau mambo mara kwa mara.

Matamshi

msahaulifu

/msahawulifu/