Ufafanuzi wa msaji katika Kiswahili

msaji

nominoPlural misaji

  • 1

    mti utoao mbao ngumu sana zinazotengenezewa milango na meza.

Asili

Kar

Matamshi

msaji

/msaʄi/