Ufafanuzi wa msalani katika Kiswahili

msalani

kielezi

  • 1

    sehemu katika nyumba au nje ambapo mtu huenda haja; chooni.

    uani

Asili

Kar

Matamshi

msalani

/msalani/