Ufafanuzi wa msamilo katika Kiswahili

msamilo

nomino

  • 1

    kigogo cha kuwekea kichwa kitumikacho kama mto.

Matamshi

msamilo

/msamilÉ”/