Ufafanuzi wa msanaka katika Kiswahili

msanaka

nominoPlural misanaka

  • 1

    mti aina ya mkadi ambao majani yake hutumiwa kama nyuzi; mkadi dume.

Matamshi

msanaka

/msanaka/