Ufafanuzi wa msani katika Kiswahili

msani

nominoPlural wasani

  • 1

    mtu mwenye ujuzi wa kazi ya kifundi k.v. uashi, useremala au umakanika.

Matamshi

msani

/msani/