Ufafanuzi wa msapata katika Kiswahili

msapata

nomino

  • 1

    ngoma inayochezwa na wanawake na wanaume huku wakipana chambi.

Matamshi

msapata

/msapata/