Ufafanuzi wa msaragambo katika Kiswahili

msaragambo

nomino

  • 1

    kazi inayofanywa na watu wengi kwa kushirikiana bila ya malipo yoyote; kazi ya ujima.

    gunda

Matamshi

msaragambo

/msaragambÉ”/