Ufafanuzi wa msemaji katika Kiswahili

msemaji

nominoPlural wasemaji

  • 1

    mtu aliye hodari wa kusema.

  • 2

    mtu anayetoa kauli au habari kwa niaba ya wengine.

Matamshi

msemaji

/msɛmaʄi/