Ufafanuzi wa msembe katika Kiswahili

msembe

nominoPlural wasembe

  • 1

    samaki mpana mwenye rangi nyeusi na manjano au nyeupe na nyeusi.

Matamshi

msembe

/msɛmbɛ/