Ufafanuzi wa mseto katika Kiswahili

mseto

nominoPlural miseto

  • 1

    chakula kinachopikwa kwa mchanganyiko wa nafaka k.v. choroko na mchele.

  • 2

    hali ya kuwa na mchanganyiko wa makabila, mataifa au fikira katika kuunda jambo au kitu fulani.

    mchanganyiko

Matamshi

mseto

/msɛtɔ/