Ufafanuzi msingi wa msewe katika Kiswahili

: msewe1msewe2

msewe1

nominoPlural misewe

  • 1

    ngoma inayochezwa kwa njuga.

Matamshi

msewe

/msɛwɛ/

Ufafanuzi msingi wa msewe katika Kiswahili

: msewe1msewe2

msewe2

nominoPlural misewe

  • 1

    vikorokoro au kengele zifungwazo miguuni ambazo hulialia wakati wa kucheza ngoma.

    njuga

Matamshi

msewe

/msɛwɛ/