Ufafanuzi wa mshabaha katika Kiswahili

mshabaha

nominoPlural mishabaha

  • 1

    hali ya kufanana kwa k.v. sura au hali.

    mfanano, mlingano

Matamshi

mshabaha

/m∫abaha/