Ufafanuzi wa mshadhari katika Kiswahili

mshadhari, mshazari

nomino

  • 1

    kitambaa cha duara cha kofia iliyoshonwa kwa mkono.

  • 2

    mstari wa upande.

    mafyongo, hanamu