Ufafanuzi wa mshahara katika Kiswahili

mshahara

nominoPlural mishahara

  • 1

    fedha anazolipwa mtu kila mwezi kwa kazi aliyoajiriwa kufanya.

    janguo

Asili

Kar

Matamshi

mshahara

/m∫ahara/