Ufafanuzi wa mshambakuche katika Kiswahili

mshambakuche

nomino

  • 1

    mti wa porini wenye matawi yenye miba myembamba, mirefu na myeusi.

Matamshi

mshambakuche

/m∫ambakutʃɛ/