Ufafanuzi wa msharafu katika Kiswahili

msharafu

nomino

  • 1

    mwenye kuheshimiwa; mwenye kutukuzwa.

Matamshi

msharafu

/m∫arafu/