Ufafanuzi wa msharasi katika Kiswahili

msharasi

nomino

  • 1

    chombo cha useremala kinachotumiwa kutobolea mbao.

    gude

Matamshi

msharasi

/m∫arasi/