Ufafanuzi wa msharifu katika Kiswahili

msharifu

nominoPlural misharifu

  • 1

    mmea wenye majani na matawi mengi na hutumiwa kutibu aina mbalimbali za magonjwa.

Matamshi

msharifu

/m∫arifu/