Ufafanuzi wa mshaufu katika Kiswahili

mshaufu

nominoPlural washaufu

  • 1

    mtu anayejivuna au anayejionyesha; mtu anayejidai kwa sababu ya jambo fulani.

Asili

Kar

Matamshi

mshaufu

/m∫aufu/