Ufafanuzi wa mshauri katika Kiswahili

mshauri

nomino

  • 1

    mtu anayetoa mawazo juu ya jambo fulani.

    ‘Mshauri wa wanafunzi’

Asili

Kar

Matamshi

mshauri

/m∫auri/