Ufafanuzi wa mshelisheli katika Kiswahili

mshelisheli

nominoPlural mishelisheli

  • 1

    mti unaozaa matunda yanayofanana na mastafeli ambayo hupikwa na kuliwa.

Matamshi

mshelisheli

/m∫ɛli∫ɛli/