Ufafanuzi wa mshenzi katika Kiswahili

mshenzi

nominoPlural washenzi

  • 1

    mtu asiyepambanua lifaalo na lisilofaa kufanywa mbele ya watu au jamii; mtu ambaye hakustaarabika.

  • 2

    mtu mwenye tabia za karaha.

Matamshi

mshenzi

/m∫ɛnzi/