Ufafanuzi wa mshikizo katika Kiswahili

mshikizo

nominoPlural mishikizo

  • 1

    mshono wa kuunganisha vipande viwili vya nguo kwa kupitisha uzi kabla ya kushona vyema.

Matamshi

mshikizo

/m∫ikizɔ/