Ufafanuzi msingi wa mshipa katika Kiswahili

: mshipa1mshipa2

mshipa1

nominoPlural mishipa, Plural mshipa

 • 1

  kimrija kidogo chenye kupitisha damu katika mwili wa kiumbe k.v. mnyama au binadamu.

  ‘Mshipa wa damu’

 • 2

  ‘Mshipa wa fahamu’
  neva

Matamshi

mshipa

/m∫ipa/

Ufafanuzi msingi wa mshipa katika Kiswahili

: mshipa1mshipa2

mshipa2

nominoPlural mishipa, Plural mshipa

 • 1

  ugonjwa wa kuvimba pumbu na kukaza misuli kitovuni au tumboni.

  ‘Ana maradhi ya mshipa’
  busha

Matamshi

mshipa

/m∫ipa/