Ufafanuzi wa mshiriki katika Kiswahili

mshiriki

nominoPlural washiriki

  • 1

    mtu anayeshiriki kufanya jambo fulani k.v. michezo, maandamano au semina.

Matamshi

mshiriki

/m∫iriki/