Ufafanuzi wa mshongo katika Kiswahili

mshongo

nomino

  • 1

    mwanamume au mwanamke mwenye ashiki sana.

    mkware, mtiriri

Matamshi

mshongo

/m∫ɔngɔ/